Posted on: June 1st, 2022
MKUU wa Mkoa wa Morogoro , Mhe. Martine Shigela, amewaahidi wananchi wa Kata ya Mkundi kukarabati barabara za ndani ambazo zimekuwa ni changamoto kupitika hususani katika kipindi cha msimu wa mvua.
...
Posted on: May 27th, 2022
KAMPUNI ya Tumbaku ya Alliance One Tanzania (AOTTL) iliyopo Morogoro imemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando, Mradi wa kisima na Madawati 300 vyote vikiwa na thamani ya Milioni 79 kw...
Posted on: May 24th, 2022
AFISA Maendeleo ya Jamii na mratibu wa dawati la maendeleo ya watoto Manispaa ya Morogoro, Joyce Mugambi, amewataka wanafunzi wa kike kuvaa magauni manne ili waweze kutimiza ndoto zao.
Kauli hiyo, ...