Posted on: February 19th, 2022
KATA ya Kilakala Manispaa ya Morogoro imezindua Kampeni ya upandaji wa miti 2000 ikiwa na lengo la kuhakikisha Kata hiyo inakuwa na uoto wa asili.
Kampeni hiyo imezinduliwa na Naibu Meya wa Manispa...
Posted on: February 18th, 2022
MANISPAA ya Morogoro ipo mbioni kuweka alama za utambuzi wa maeneo yote ya wazi ikiwa na lengo la kukomesha uvamizi wa maeneo hayo.
Kauli hiyo imetolewa leo na Afisa Mipango Miji wa Manispaa ya Mor...
Posted on: February 17th, 2022
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Albert Msando, ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 10 katika Mtaa wa Kambi 5 na Lukobe Juu Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro ili kuhakikisha Wananc...