Posted on: December 7th, 2020
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI , Mhandisi Joseph Nyamuhanga, ameonyesha kufurahishwa na ujenzi wa soko kuu la kisasa katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro...
Posted on: November 16th, 2020
Mkurugenzi Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba,amewataka wananchi wa Manispaa ya Morogoro, kuyatunza mazingira kwa kufanya usafi na kuhifadhi taka maeneo husika.
Lukuba, amesema kila mwananchi ana...
Posted on: November 12th, 2020
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Bakari Msulwa, amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro kuboresha huduma za afya katika Kituo cha afya cha Uhuru (Nunge), kufuatia kituo hicho kuzidiwa na Wagonjw...