Posted on: December 28th, 2022
HIVI karibuni Manispaa imepokea tena kiasi cha Shilingi bilioni 1.620,000 kupitia pochi la mama kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa.
Fedha hizo zimetolewa kwa mwezi Septemba kutoka Serikali ...
Posted on: December 16th, 2022
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro imefanya maboresho makubwa katika mfumo wa kujiendesha kisasa wa kutumia Vishikwambi kwa lengo la uwasilishaji wake wa taarifa hususani katika Vikao vya Mabaraza ya...
Posted on: December 10th, 2022
MANISPAA ya Morogoro imeadhimisha sherehe za miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa kuandaa Kongamano la kujadili Maendeleo Endelevu ambayo Manispaa imeyapata katika kipindi cha Miaka 61 ya uhuru.
...