Posted on: May 11th, 2020
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, amethibitisha kuingia kwa Sukari tani 90 kufuatia kupanda kwa bei ya sukari katika Wialaya ya Morogoro.
Hayo ameyazungumza leo Mei 11, 20...
Posted on: May 7th, 2020
MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Morogoro na Diwani wa Kata ya Mazimbu, Mhe. Pascal Kihanga, amepiga marufuku wakandarasi wasio na sifa kuomba kazi katika Manispaa ya Morogroro.
Hayo ameyasema...
Posted on: May 2nd, 2020
MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Morogoro na Diwani wa Kata ya Mazimbu, Mhe. Pascal Kihanga, amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi katika Awamu ya pili ya Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wap...