Posted on: June 17th, 2020
KATIBU Tawala Wilaya ya Morogoro, Ruth John, ametoa wito kwa taasisi mbalimbali, mashirika, wafanyabiashara na watu wenye mapenzi mema kujitolea kusaidia watu wenye uhitaji maalumu kwani kwa kufa...
Posted on: June 17th, 2020
JUMLA ya shilingi milioni 517,800,000/=zimetolewa kwa ajili ya mikopo ya uwezeshaji kwa vikundi 72, ikihusisha vikundi 44 vya wanawake na vikundi 22 vya vijana pamoja na Vikundi 6 vya Watu wenye Ulema...
Posted on: June 15th, 2020
MKURUGENZI wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, ameziomba Jamii kutambua mchango wa watoto kuelekea siku ya Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika.
Hayo ameyazungumza leo Juni 15, 2020 Ofisini kwa...