Posted on: October 12th, 2022
MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mhe. Abdulaziz Abood, amekabidhi Kituo cha Afya cha Sabasaba Kitanda cha wagonjwa wa upasuaji pamoja na taa zake ikiwa ni moja ya kuboresha Sekta ya afya.
Akizung...
Posted on: October 10th, 2022
MANISPAA ya Morogoro, imetoa shukrani za pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hasssan, kutona na kukabidhiwa gari mpya itakayotumiwa na Ofisi ya TASAF.
Pongezi hiz...
Posted on: October 7th, 2022
KAMATI ndogo ya afya Manispaa ya Morogoro ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Aisha Kitime, imefanya ziara ya kukagua miradi ya afya inayotekelezwa katika Manispaa hiyo na kutoa pongezi za u...