Posted on: February 15th, 2020
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, amesema kero ya Dampo kwa sasa inakwenda kumalizika kufuatia kuweka kijiko kitakacho safisha njia na kuingiza takataka zote ndani ya ...
Posted on: February 7th, 2020
Kamati ya Ushauri Wilaya imeridhia na kupitisha jumla ya Tsh 75,372,267,796.32 ikiwa ni mapendekezo ya bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021 ikijumuisha mapato ya Ruzuku na mapato ya ndani.
Hayo yameb...
Posted on: February 6th, 2020
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Loata Sanare, amefurahishwa na idadi ya watu wanaoendelea kujitokeza kujiandikisha katika vituo mbalimbali vya Uandikishaji wa Daftari la kudumu la wapiga katika J...