Posted on: February 10th, 2023
MANISPAA ya Morogoro imegawa vitabu 45,486 kwa Waalimu wa shule za Msingi kwa ajili ya kuwafundishia wanafunzi.
Vitabu hivyo vimetolewa Februari 05/2023 katika Ofisi Kuu ya Manispaa ambapo kwa kila...
Posted on: February 9th, 2023
MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, amefurahishwa na kazi nzuri inayofanywa na Wataalamu wa Manispaa ya Morogoro katika utekelezaji wa miradi ya Maendeleo.
Kauli hiyo, ameit...
Posted on: February 8th, 2023
MKURUGENZI wa Manispaa ya Morogoro, Ally Machela, amewahakikishia wananchi wa Manispaa ya Morogoro kua hakutakua na kero babaifu za huduma za jamii kutokana na kuwepo kwa mikakati madhubuti iliyowekwa...