Posted on: February 22nd, 2025
Wasimamizi wasaidizi ngazi ya kata Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wamepewa mafunzo juu ya uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajiwa kuanza Machi 1-7,2025.Mafunzo ...
Posted on: February 18th, 2025
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro limepitisha bajeti ya shilingi 93,809,858,854.97 kwaajili ya kutekeleza shughuli za maendeleo na matumizi ya kawaida kwa mwaka wa fedha 202...
Posted on: February 10th, 2025
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Mussa Kilakala, ameagiza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro na Manispaa ya Morogoro kutenga maeneo ya kutosha kwa ajili ya uwekezaji ikiwamo,maeneo ya kilimo...