Posted on: April 15th, 2021
Kamati ya Huduma za Uchumi, Elimu na afya Manispaa ya Morogoro imeridhia ujenzi wa Kivuko kinachounganisha Mtaa wa Vituli pamoja na Buhomela Kata ya Bigwa .
Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 15/2021 ...
Posted on: April 9th, 2021
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Sheilla Lukuba , amekabidhi TV Flat Screen pamoja na Kingámuzi cha AZAM kwa Kitengo cha Ustawi wa Jamii Manispaa ya Morogoro.
Tukio hilo la makabidhianao hayo lim...
Posted on: April 6th, 2021
Wanufaika wa TASAF Manispaa ya Morogoro wametakiwa kutumia kwamalengo yaliyokusudiwa fedha inayotolewa kupitia mpango wa kunusuru Kaya masikini unaotekelezwa na mfuko wa maendeleo ya Jamii nchini TASA...