Posted on: September 26th, 2020
MKUU wa Wilaya ya Morogoro Mhe.Bakari Msulwa amewataka watu wanaovamia maeneo ya viwanja vya michezo kukomesha tabia hiyo kwani inawanyima fursa vijana kushiriki kwenye michezo.
Kauli hiyo ameitoa ...
Posted on: August 14th, 2020
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo ameonyesha kufurahishwa na ujenzi wa soko kuu la kisasa katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro katika...
Posted on: July 23rd, 2020
MKUU waWilaya ya Morogoro, Mhe. Bakari Msulwa, amelitaka zoezi la ugawaji wa Vizimbavya Wafanyabiashara katika Soko Kuu la Kisasa Manispaa ya Morogoro lifanyikekwa utulivu na amani.
Kaulihiyo...