Posted on: March 29th, 2022
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Albert Msando, amewatoa hofu wananchi wa Kiegea A na B Kata ya Mkundi na Kihonda Manispaa ya Morogoro juu ya upimaji wa eneo hilo lenye ekari 4500.
Hayo ameyasema M...
Posted on: February 25th, 2022
MANISPAA ya Morogoro, imezindua kampeni kabambe ya upandaji miti katika shule huku ikibainisha kuwa wamepanga kupanda miti zaidi ya milioni 1 na laki 5 kupitia wanafunzi wa shule za msingi,sekondari, ...
Posted on: February 21st, 2022
MENEJIMENTI ya Manispaa ya Morogoro ikiongozwa na Mkurugenzi wa Manispaa, Ally Machela, imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa Mabanda ya wafanyabiashara ndogondogo (Machinga) katika eneo la Fire.
Akizu...